Loading
WhatSong Soundtrack Logo

Lyrics

Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Pesa, zasumbua roho yangu Pesa, zasumbua roho yangu Nami nifanyeje Kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Ningekuoa mali we Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika

More songs from Harry Belafonte & Miriam Makeba

SongInfo

Release Year

-

Genres

Pop

Moods

-

Vocals

-

TrendingThis week

Top Artists

Most searched movies

Most searched tv shows

WhatSong is the worlds largest collection of movie & tv show soundtracks and playlists.

WhatSong Soundtracks Logo

© 2024 WhatSong Soundtracks. All rights reserved. v5.0.6